Polisi wahifadhi ubingwa wa ndondi Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Polisi wahifadhi ubingwa wa ndondi Kenya

Bingwa mtetezi, klabu ya Polisi ilihifadhi ubingwa wa ligi kuu ya ndondi ya Kenya ilipomaliza na jumla ya pointi 97 wakati mkondo wa mwisho ulipomalizika jana mjini Nakuru. Jeshi ilimaliza ya pili na pointi 13 na Magereza ikawa ya tatu na pointi 10………John Nene alikuwa Nakuru, na hii hapa ripoti yake..