Kituo kilichofaa Rwanda mashindano ya baiskeli

Kituo kilichofaa Rwanda mashindano ya baiskeli

Wakati Rwanda ikijiandaa kwa mashindano ya kimataifa ya mbio za baiskeli maarufu ‘Tour of Rwanda’ yatakayoanza Jumapili, nchi hiyo inasifiwa kufanya mapinduzi ya kuonekana katika mchezo huo kiasi kwamba sasa imo katika nchi tano bora barani Afrika.

Mafanikio hayo ni matunda ya kituo kikubwa cha kuaandaa na kutoa mafunzo kwa waendeshaji baiskeli kutoka sehemu mbali mbali duniani.

Mwandishi wa BBC Yves Bucyana ametembelea kituo hicho na kutuletea taarifa ifwatayo.