AFOTY: Pierre-Emerick Aubameyang anavuna matunda ya bidii

AFOTY: Pierre-Emerick Aubameyang anavuna matunda ya bidii

Pierre-Emerick Aubameyang ni mmoja wa washambuliaji hatari zaidi Ulaya na anasema ufanisi wake umetokana na kutia bidii sana.

”Nafikiri nilipokuwa mdogo nilifunga mabao mengi. Imenichukua muda mrefu na kufanya bidii sana kufika kiwango nilicho sasa,” anasema.

Ni mcheshi sana na hupenda mzaha na kuwachekesha watu

Ni mmoja wa wanaoshindania Tuzo ya BBC ya Mwanakandanda Bora wa Afrika wa Mwaka 2016.