Man Utd kucheza na Wigan Kombe la FA

Mabingwa watetezi wa Kombe la FA, Manchester United watapambana na washindi wa mwaka 2013 katika raundi ya nne ya kombe hilo.

Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Wayne Rooney wa Manchester United alipachika bao la kihistoria dhidi ya Reading

Mabingwa wa England Leicester City watakumbana na Derby County, huku Chelsea wakicheza na Brentford.

Raundi ya nne inashirikisha timu 32, na mechi hizi zitachezwa Januari 27-30.

Droo kamili ni kama ifuatavyo:

Tottenham Hotspur v Wycombe Wanderers

Derby County v Leicester City

Oxford United v Newcastle United au Birmingham City

AFC Wimbledon au Sutton United v Cambridge United au Leeds United

Plymouth Argyle or Liverpool v Wolverhampton Wanderers

Southampton au Norwich City v Arsenal

Lincoln au Ipswich v Brighton

Chelsea v Brentford

Manchester United v Wigan Athletic

Millwall v Watford

Rochdale v Huddersfield Town

Burnley or Sunderland v Fleetwood Town au Bristol City

Blackburn Rovers v Barnsley au Blackpool

Fulham v Hull City

Middlesbrough v Accrington Stanley

Crystal Palace au Bolton v Manchester City.