Matokeo ya ligi kuu Uingereza EPL

Gabriel Jesusu akiifungia Manchester City bao lake la kwanza Haki miliki ya picha Rex Features
Image caption Gabriel Jesusu akiifungia Manchester City bao lake la kwanza

Ligi kuu soka England iliendelea usiku wa kuamkia leo kwa viwanja vitatu kuwaka moto

Mtanange kati ya Westham na Man City uliisha kwa wagonga nyundo yaani Westham kuchapwa 4-0.

Stoke City 1-Everton 1

Ambapo katika mchezo huo mshambuliaji wa stoke Peter Crouch amefikisha goli la 100 kwenye EPL.

Manchester United 0- Hull City 0

Hii inamaanisha kwamba hata mchezo unaokuja Man United ikishinda na City ikafungwa United inabaki palepale namba sita.

Manchester City 4-0 West Ham

Naye Gabriel Jesus alifunga bao lake la kwanza la Man City wakati timu hiyo ilipoicharaza West Ham katika uwanja wa London