Liverpool kuivaa Tottenham-Epl

Haki miliki ya picha Google
Image caption Mashabiki wa Liverpool

Ligi kuu ya soka ya England inatarajia kuendelea wikendi hii , hapo kesho jumamosi Arsenal watakuwa nyumbani wakiwakaribisha Hull City , Manchester United wao ni wenyeji wa Watford, Middlesbra wanawaalika Everton, Stoke City ni wenyeji wa Crystal Palace , Sunderland wanawakaribisha Southampton , West Ham United wanawakaribisha West Bromwich Albion, na Liverpool ni wenyeji wa Tottenham .

Jumapili Burnley watawakaribisha Chelsea , Swansea City ni wenyeji wa Leicester City na jumatatu Bournimouth watawaalika Manchester City.