Sam Querrey ambwaga Rafael Nadal

Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Sam Querrey ambwaga Rafael Nadal

Mmarekani Sam Querrey ametetea ubingwa wake baada ya kufanya kazi ya ziada kwa kumshinda Rafael Nadal kwa seti moja katika fainali za wazi za Mexico .

Sam ambaye anashikilia namba 40 kwa ubora duniani alishinda kwa 6-3 7-6 (7-3) dhidi ya mpinzani wake.

Nao Jamie Murray na Bruno Soares wameshinda kwa mara ya kwanza katika mashindano ya ATP 2017 kupitia mashindano hayo ya wazi Mexico.

Baada ya kuwafunga John Isner wa marekani na Feliciano Lopez wa Hispania kwa 6-3 6-3 mjini Acapulco