Mwanariadha Eliud Kipchoge kuweka rekodi mpya
Huwezi kusikiliza tena

Mwanariadha Eliud Kipchoge kuweka rekodi mpya

Mwezi wa tano mwaka huu, bingwa wa Olympiki mbio za marathon Eliud Kipchoge wa Kenya anatarajia kuweka historia ya kuwa mwanariadha wa kwanza duniani kukimbia mbio hizo za kilomita 42 chini ya saa mbili…John Nene amezungumza na Kipchoge na wahusika wengine, na kutuandalia ripoti hii..