LA Galaxy yaomba kumtajirisha Zlatan Ibrahimovic

Haki miliki ya picha Google
Image caption Zlatan Ibrahimovic

Uongozi wa klabu ya LA Galaxy ya marekani umedai kwamba kwa sasa una mpango wa kumnunua mshambuliaji wa Manchester United Zlatan Ibrahimovic kwa dau kubwa liltakalo mfanya awe ndio mchezaji ghali zaidi wa kulipwa katika Ligi Kuu ya soka ya marekani.

Ibrahimovic alijiunga na United kwa mkataba wa mwaka mmoja msimu mfupi uliopita.

Lakini hata hivyo ni maamuzi ya ihari kwa msweeden huyo ya kuchagua kuondoka au kubakia endapo United watahitaji kufanya mazungumzamo na mchezaji huyo mwenye umri wa miaka kwa 35 .

Mpaka sasa Ibrahimovic aimefunga mabao 26 United katika msimu huu