Konta kuchuana na Heather Watson -BNP

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Heather Watson

Katika michuano ya wazi ya Tenisi ya BNP Paribas ya India- Heather Watson anatarajia kuvaana na Johanna Konta hii ni baada ya kufanikiwa kumfunga Nicole Gibbs .

Nicole Gibbs ndie alianza kwa kufunga seti ya kwanza 6-4 kabla ya Watson kuanza kushinda seti mbili ikiwa ni 6-2, na kushinda kwa alama katika michezo 12, Watson na Konta watakutana katika mchezo wa Ijumaa .