Mwanariadha wa Kenya aliyebadilisha uraia
Huwezi kusikiliza tena

Mwanariadha wa Kenya aliyebadilisha uraia

Mkimbiaji wa marathon, Mike Kigen, ni baadhi ya wanariadha wanane kutoka Kenya waliobadilisha uraia wakawa Waturuki. Lakini anasema hakufanya hivyo kwa sababu ya tamaa ya fedha..Tangu abadilishe uraia mwaka wa 2014 sasa anajulikana kama Kaan Kigen Ozbilen.. John Nene amezungumza naye mjini Eldoret eneo la bonde la ufa.