Wakenya wajiandaa kwa mbio za dunia za nyika
Huwezi kusikiliza tena

Wakenya wajiandaa kwa mbio za dunia za nyika Kampala

Timu ya riadha ya Kenya inazidi kujiandaa kwa mbio za dunia za nyika tarehe 26 mwezi huu mjini Kampala.

Wanariadha hao wanafanya mazoezi katika eneo la Embu mashariki mwa Kenya.

Mwandishi wa BBC John Nene ametembelea kambi ya mazoezi ya wanariadha hao.

Mada zinazohusiana