Bondia wa zamani Kenya atatizwa na maradhi ya ubongo
Huwezi kusikiliza tena

Stephen Thega: Bondia wa zamani Kenya atatizwa na maradhi ya ubongo

Bondia wa zamani wa timu ya taifa ya Kenya, Stephen Thega, alivuma sana akiwakilisha Kenya katika ndondi miaka ya sabini.

Aliwakilisha Kenya Michezo ya Olimpiki mwaka 1972.

Lakini sasa anaugua maradhi ya ubongo na huenda akapelekwa nchini Marekani kupata matibabu.

Alizungumza na mwandishi wa BBC John Nene.

Mada zinazohusiana