Mwanamke mwamuzi stadi wa mechi kutoka Burundi

Mwanamke mwamuzi stadi wa mechi kutoka Burundi

Suavis amekuwa refa kwa miaka sita alianza kucheza soka akiwa shuleni.

Wakati akiwa shule, alisikia kwamba shirikisho la soka nchini Burundi lilikuwa likiwatafuta marefa wa kike na akaamua kutuma maombi kupata mafunzo.

Suavis aliweka historia mwaka 2016.

Alikuwa refa wa kwanza mwanamke kutoka Burundi kusimamia mechi katika Kombe la Mataifa ya Afrika la Wanawake Cameroon.