Mbona Tanzania wakaambulia patupu mbio za Kampala?
Huwezi kusikiliza tena

Mbona Tanzania wakaambulia patupu mbio za Kampala?

Tanzania imeambulia patupu katika mbio za nyika za dunia Jumapili mjini Kampala, Uganda.

Kwa mujibu wa wanariadha wata Tanzania miongoni mwa sababu zilizochangia ni usafiri wa barabara kwa zaidi ya saa 30 kutoka Arusha Kasikazini mwa nchi kupitia Kagera Magharibi mwa nchi hadi Kampala.

Timu hiyo iliwasili Kampala Ijumaa usiku na mbio zikafanyika Jumapili.

John Nene amezungumza na nahodha Fabiano Joseph kuhusu suala hilo la usafiri.

Mada zinazohusiana