Arsenal kuvaana na Middlesbrough hii leo

Arsenal kuvaana na Middlesbrough hii leo
Maelezo ya picha,

Arsenal kuvaana na Middlesbrough hii leo

Leo Arsenal wanacheza dhidi ya Middlesbrough ambao wataongezewa nguvu na kurejea kwa Captain George Friend ambaye anatokea katika majeruhi ya kifundo cha mguu.

Gaston Ramirez atakuwepo pia baada ya kutokea katika maumivu ya enka. Arsenal wanaweza kuwa naye tena Captain Laurent Koscielny ambaye naye alikuwa majeruhi.