Mtanzania asiyeona anayefika uwanjani 'kutazama' mechi
Huwezi kusikiliza tena

Mtanzania asiyeona anayefika uwanjani 'kutazama' mechi

Ali Mussa kwa jina la utani Askari ni shabiki maarufu sana nchini Tanzania kwa kuwa huwa hakosekani kwenye mechi mbali mbali za kandanda jijini Dar es Salaam.

La kushangaza zaidi ni kwamba shabiki huyu ana ulemavu wa macho lakini hilo kwake si tatizo la kumzuia kufurahia kabumbu.

Esther Namuhisa ametuandalia taarifa ifuatayo

Mada zinazohusiana