Tergat kuongoza kamati ya Olimpiki Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Paul Tergat kuongoza kamati ya Olimpiki Kenya

Mwanariadha mashuhuri nchini Kenya, Paul Tergat, ndiye kinara mpya mtarajiwa wa kamati ya Olimpiki nchini Kenya kwa kifupi NOCK.

Tergat amepata wadhifa wa kuongoza NOCK baada ya mpinzani wake na kiongozi anayeondoka Kipchoge Keino kukosa kuwasilisha jina lake kama mgombezi wa kiti hicho.

John Nene amezungumza na Tergat mjini Nairobi

Mada zinazohusiana