Konta atupwa nje michuano ya Stuttgat

TENESI Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Mwingereza Johana Konta

katika michuano ya wanawake ya tenesi wazi ya Stuttgat mwingereza Johanna Konta ametupwa nje ya michuano hiyo na Anastasija Sevastova.

Anastasija alishinda kwa seti mbili ya 6-3 7-5

Nae Maria sharapova ameendeleza wimbi la ushindi katika mashindano hayo kwa kumchapa Ekaterina Makarova kwa seti seti mbili ya 7-5 6-1.