Liverpool yaichapa Watford -EPL

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Wachezaji wa Liverpool

Ligi kuu ya soka ya England Watford wakiwa ni wenyeji wa Liverpool katika mchezo pekee wa ligi hiyo Liverpool hapo jana walifanikiwa kuchomoza na ushindi wa bao 1-0 kwa goli la Emre Cam ambalo lililofungwa dakika ya 45 ndani ya dakika mbili za nyongeza.

Kwa matokeo hayo sasa Liverpool wamepanda hadi nafasi ya tatu baada ya kufikisha alama 69 nyuma ya chelsea na Tottenham huku nafasi ya nne ikiwa ni Manchester city na nafasi ya tano ikikaliwa na Manchester United.