Manchester United kuwakosa baadhi ya nyota wake - Europa League

Haki miliki ya picha Google
Image caption Zlatan Ibrahimovic

Wakati Manchester United inatarajiwa kucheza mchezo wake wa kwanza wa nusu fainali ya Europa League hapo Alhamisi, inaweza kuwakosa nyota wake saba wa kikosi cha kwanza.

Wachezaji hao ambao wnaweza kukosekana katika mchezo huo ni pamoja na Bailly au Chris Smalling paomoja na Phil Jones ,wengine ni Zlatan Ibrahimovic, marcos Rojo na Tomothy Fosu-Mensah

Paul Pogba anatarajiwa kurejea katika mchezo huo utakaofanyika nchini Hispania baada ya kukosa mechi mbili kutokana na kuwa majeruhi.