Victor Wanyama huwa ana kisasi na Arsenal?
Huwezi kusikiliza tena

Victor Wanyama huwa ana kisasi na Arsenal?

Nahodha wa timu ya taifa ya Kenya ya kandanda, Victor Wanyama, yuko nyumbani sasa kwa likizo baada ya kuisaidia Tottenham Hotspurs kumaliza ya pili katika ligi kuu ya England.

John Nene amezungumza naye, na anaanza kwa kutueleza nao pia kwenye ligi kuu ya England wanafanyiwa uchunguzi wa dawa za kuongeza nguvu.

Mada zinazohusiana