IBF yapinga Ushindi wa Ryan Burnett

Bondia
Image caption Bondia Ryan Burnett

Shirikisho la Masumbwi la IBF limesema kwamba ushindi wa bondia Ryan Burnett dhidi ya Lee Hanskin Ulitolewa kimakosa.

Siku ya Jumamosi Burnet alipewa ushindi na majaji wawili kimakosa huku jaji mmoja akipinga ushindi huo.

IBF imesema kuwa Maamuzi ya Majaji hao wawili yalikuwa hayampi ushindi bondia yoyote kutokana na uwiano sawa wa alama.