El Hadji Diouf: Watu walinielewa vibaya

El Hadji Diouf: Watu walinielewa vibaya

El Hadji Diouf ni shujaa nchini Senegal na kila mahala anakokwenda hushangiliwa na mashabiki wakiwemo vijana na hata wazee.

Diouf ambaye sasa amehamia mji mkuu wa Senegal Dakar, anasema kwa mara kadha hakueleweka vyema wakati wa siku zake akicheza England.

Hata hivyo anakiri amefanya mambo mabaya.