Salif Diao: Ningekuwa ninafanya nini?

Salif Diao, 40, alikuwa mchezaji nyota wa Senegal ambaye pia aliichezea klabu ya Liverpool ya Uingereza ambao alijiunga nao mwaka 2002.

Hakufana sana na alitumwa kwa mkopo Birmingham City, Portsmouth na Stoke City kabla ya kuuziwa Stoke kabisa mwaka 2007.

Anasema mambo yangelikuwa magumu sana kama hangesoma.