Benni McCarthy: Uchezaji kandanda uliokoa maisha yangu

Benni McCarthy alizaliwa eneo la Cape Flats katika mkoa wa Western Cape nchini Afrika Kusini eneo ambalo lilikuwa na magenge mengi ya uhalifu.

Anasema kuingia kwake katika kandanda kulimuepusha kujiunga na magenge ya wahalifu.