Wachezaji wa Everton wakutana na morani Tanzania
Wachezaji wa Everton wakutana na morani Tanzania
Wachezaji wa Everton, akiwemo Wayne Rooney, wameendelea kufurahia mandhari na vivutio mbalimbali nchini Tanzania.
Alhamisi, Rooney na wenzake wamekutana na morani wa Kimaasai.
Everton walicheza dhidi ya Gor Mahia ya Kenya mchezo wa kirafiki baadaye uwanja wa taifa Dar es Salaam na kuwalaza 2-1.