Emmanuel Adebayor hazungumzi kamwe na jamaa zake

Emmanuel Adebayor hazungumzi kamwe na jamaa zake

Mwaka 2015, mchezaji wa Togo Emmanuel Adebayor alifichua kupitia mitandao ya kijamii mzozo wa kifamilia kati yake na jamaa zake ambao ulivuruga uchezaji wake.

Miaka miwili baadaye, anasema bado huwa hawasiliani na jamaa zake.

Adebayor amezungumza na BBC kuhusu mzozo huo.