Rais wa shirikisho la kandanda la Uhispania akamatwa

This file photo taken on July 21, 2016 shows President of the Spanish football federation, Angel Maria Villar, Haki miliki ya picha AFP/Getty Images
Image caption Angel Maria Villar Llona

Rais wa shirikisho la kandanda nchini uhispania na mtoto wake wa kiume wamekamatwa kama sehemu ya uchunguzi wa polisi kuhusu ufisadi.

Angel MarĂ­a Villar Llona alikamatwa kwa kushukiwa kuvuja pesa.

Mr Villar, mchezaji wa zamani wa kimataifa ya Uhispania amekuwa rais wa shirikisho la kandanda la uhispania tangu mwaka 1988.

Mwanawe wa kiume Gorka ni kati ya watu waliokamywa wakati wa uavamizi uliofanya mara kadha maepema Jumanne.

FIFA yaitosa Etoile Filante

FIFA kuiondoa Uingereza

Muntari azishutumu FIFA na UEFA

Zanzibar mbioni kutafuta uanachama wa Fifa

Mahakama ya juu nchini Uhispania iliambia Reuters kuwa mmoja wa majaji wake na waendesha mashtaka wa masuala ya ufisadi wanaongoza uchunguzi huo.

Pia amehudumu katika baraza la la shirikisho la kandanda duniani Fifa kwa kipindi cha miaka 29 iliyopita lakini alitimuliwa na Fifa kwa kukataa kutoa ushirikiano kwenye uchunguzi kwa zoezi la kumtafuta mwandalizi wa kombe la dunia mwaka 2018 na 2022.

Haki miliki ya picha EPA
Image caption Gorka Villar ni kati ya waliokamatwa

Mada zinazohusiana