Je unaweza kununua nini kwa thamani ya Neymar mmoja?

Ndege hii ya kibinafsi inagharimu robo ya thamani ya Neymar Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Ndege hii ya kibinafsi inagharimu robo ya thamani ya Neymar

Nyota wa barcelona Neymar anataka kuiihama klabu yake ili kuelekea katika klabu ya PSG iliopo nchini Ufaransa ,lakini hatua hiyo inatarajiwa kuigharimu PSG rekodi ya uhamisho ya €222m

Kwa bei, Neymar mmoja pekee ana thamani ya £198m, ama $262m, ambayo inaweza kununua.

Ndege moja ama tatu

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Ndege hii ya kibinafsi inagharimu robo ya thamani ya Neymar

Neymar mmoja anaweza kununua ndege tatu aina ya Boeing 737-700 za abiria ambazo zitagharimu $82.4m each.

Iwapo unataka kuimarisha ndege ya aina ya snazzier 737-800 - ambayo inatumika sana na kampuni ya ndege za abiria ya Ryanair's barani Ulaya - utaweza kununua ndege mbili pekee huku $65m zikisalia

Vilevile, unaweza kununua ndege ya kibinasfi kwa Neymar mmoja itakayogharimu ranging up to about $100m na baadaye kutumia fedha zilizosalia kwa matumizi ya juu ya ndege hiyo kila mwaka

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Ndege mpya aina ya F-35 ita,gharimu Neymar 0.36

Ndege ya kijeshi ya F-35 ambayo inatumiwa sana na US Airforce itagharimu $94m, na ndege iliotoweka katika soko ya F-22 Raptor ilikuwa inauzwa kwa $150m wakati uzalishaji wake ulipositishwa

Mshahara wa kikosi chote cha New York Yankees

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Aroldis Chapman - anapokea mashahar wa $21m

Nchini Marekani wachana na soka na badala yake utathmini mchezo wa Baseball . un aweza kulipa mshahara wa mwaka wa kikosi kizima cha New York yankees ka dola $155m kulingana na data ya thamnai ya kila mchezaji.Fedha zilizosalia unaweza unaweza kuwalipa wachezaji walio na majeraha, kuongeza kandarasi na kikosi kidogo itakugharimu $223m.

Uchumi wa mataifa sita

Iwapo unammiliki Neymar mmoja unaweza kukidhi uchumi wa moja ya mataifa sita madogo duniani .Mataifa ya Tuvalu, Montserrat, Kiribati, Visiwa vya Marshall , Nauru and Palau - vyote vina ukuwaji wa kiuchumi wa kati ya $33m hadi $258m, kulingana na data ya Umoja wa mataifa ya 2015.

Deni la taifa moja dogo ni sawa na kiwango kidogo cha deni la Marekani

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Deni la Marekani

Mshahara wa Neymar kwa mwezi mmoja unaweza kufutilia mbali deni la taifa dogo kama vile Tonga ($28.3m), Fiji ($72.4m) au Vanuatu ($82m) - ama hata Haiti ($234m).

Mataifa hayo yana madeni madogo.

Kwa hivyo unapotaka kutoa usaidizi kama vile kwa Marekani yenye deni kubwa Neymar mmoja anaweza kupunguza deni hilo kwa 0.001% ambalo linakaribia almost $20 trillion

Hongera!

Iwapo unaweza kujiwekea $1,000 kwa siku ,kila siku unaweza kumnunua Neymar baada ya miaka 718

Mada zinazohusiana

Maelezo zaidi kuhusu taarifa hii