Tuzo ya Mwanakandanda Bora wa Afrika 2017

Kanuni na Masharti ya Tuzo ya BBC ya Mwanasoka Bora Afrika 2017

Orodha ya wachezaji watano wa kushindania tuzo hii ilitayarishwa na wataalamu bingwa wa soka Afrika na kwingineko.