AFOTY 2017: Wasifu wa Sadio Mane
Huwezi kusikiliza tena

AFOTY 2017: Wasifu wa Sadio Mane

Nyota wa Senegal na Liverpool Sadio Mane alifanya vizuri sana mwaka 2017 hivi kwamba alipigiwa kura na wachezaji wenzake kuwa kwenye kikosi bora cha PFA.

Ni mmoja wa wachezaji watano wanaoshindania tuzo ya BBC AFOTY 2017 pamoja na Pierre-Emerick Aubameyang, Naby Keïta, Mohamed Salah na Victor Moses.

Mshindi atatangazwa mnamo 11 Desemba.

Bofya hapa ili kupiga kura yako.