AFOTY 2017: Safari ya Salah kufikia ufanisi
Huwezi kusikiliza tena

AFOTY 2017: Safari ya Salah kufikia ufanisi

Tunaangazia safari ya Mohamed Salah, mmoja wa wachezaji watano wanaoshindania tuzo ya BBC AFOTY 2017, barani Ulaya kuanzia Basel ya Uswizi hadi Liverpool ya Uingereza.

Salah anashindania tuzo hiyo pamoja na Pierre-Emerick Aubameyang, Naby Keïta, Sadio Mané na Victor Moses.

Mshindi atatangazwa mnamo 11 Desemba.

Bofya hapa ili kupiga kura yako.