Wanariadha wa Afrika wanaoshiriki katika michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi

 • Akwasi Frimpong

  • Umri: 31
  • Taifa: Ghana
  • Mchezo: Skeleton

  Akwasi Frimpong alianzisha shirikisho la taifa la Bobsled na Skeleton (BSF-Ghana) mwaka 2016. 

  Frimpong alikuwa mwanariadha wa mbio fupi lakini majeraha ya kifundo cha mguu yalimlazimisha kucheza mchezo mwingine  

  Ina chukua karibu miaka minne mpaka sita kuweza kuwa bora na imara kushindana sababu mchezo una kwenda haraka sana kiasi kwamba akili yako haiwezi hata kushikato 
 • Sabrina Simader

  • Umri: 19
  • Taifa: Kenya
  • Mchezo: Alpine Skiing

  Simader, ambaye familia yake ilihamia Austria wakati akiwa na miaka mitatu, na anakuwa mtelezaji wa kwanza wa kwenye milima kuiwakilisha Kenya kwenye michuano ya olimpiki ya majira ya baridi 

  Alikuwa mtelezaji mshindani kwenye mchezo huu mwaka 2013 na mwaka 2016 aliziwakilisha nchi za afrika mashariki kwenye michuano kama hii ya majira baridi nchini Norway  

  Hisia zile unapata wakati uanateleza kwenye barafu kwa kasi unayoenda ni kama vile unachanganyikiwa unajawa na furaha na unahisi ni wakati wako
 • Mialitiana Clerc

  • Umri: 16
  • Taifa: Madagascar
  • Mchezo: Alpine Skiing

  Mialitiana Clerc  alijifunza mchezo huu akiwa na miaka mitatu akiwa nchini Ufaransa. Alifikisha miaka 16 mwezi wa kumi na moja mwaka jana 2017 jambo ambalo linamfanya kuwa mwanamichezo mdogo zaidi katika michezo hii. 

 • Samir Azzimani

  • Umri: 40
  • Taifa: Morocco
  • Mchezo: Cross-Country Skiing

  Samir Azzimani awali alikuwa mtelezaji wa milimani/alpine skiing kabla ya kuhamia kwenye  utelezi wa nyikani. 

 • Adam Lamhamedi

  • Umri: 22
  • Taifa: Morocco
  • Mchezo: Alpine Skiing

  Raia wa Morocco mwenye asili ya Canada  Adam Lamhamedi aliweka historia alipokuwa mwafrika wa kwanza kushinda medali ya dhahabu kwenye michezo hii ya majira ya baridi  kwa vijana mwaka 2012. 

 • Moriam Seun Adigun

  • Umri: 31
  • Taifa: Nigeria
  • Mchezo: Bobslei

  Seun Adigun alianzisha timu ya kwanza ya Nigeria ya Bobslei , yeye ndo kinara wa timu mwanariadha wa zamani aliyekalisha mbio za mita 100 pamoja na kuruka vihunzi   

  Siamini . .ni kweli isiyo kwamba Nigeria haijawahi kuwa na mwakilishi yeyote katika michezo hii ya majira baridi na wanafuraha sana kuona hili linatokea 
 • Akuoma Omeoga

  • Umri: 25
  • Taifa: Nigeria
  • Mchezo: Bobslei

  Akuoma ni mwanamke wa aina yake na wa kwanza kwenye timu yao ya bobslei lakini pia anafanya kazi katika idara ya afya  

 • Ngozi Onwumere

  • Umri: 26
  • Taifa: Nigeria
  • Mchezo: Bobslei

  Ngozi Onwumere is a track and field athlete who had previously represented Nigeria in the 2015 All African games. 

 • Simidele Adeagbo

  • Umri: 36
  • Taifa: Nigeria
  • Mchezo: Skeleton

  : Kufuatia miaka tisa ya kupenya katika michezo ya kiushindani , Simidele Adeagbo  ali hamasishwa na  timi ya Nigeria ya was inspired by the Nigerian Bobsleigh na kamua kuwa mchezaji wa mchezo wa skeleon  

 • Connor Wilson

  • Umri: 21
  • Taifa: South Africa 
  • Mchezo: Alpine skiing

  Connor Wilson alisoma kuwa afisa mifugo katika chuo cha Vermont huko Marekani. 

 • Mathilde-Amivi Petitjean

  • Umri: 23
  • Taifa: Togo
  • Mchezo: Cross-Country Skiing

  Mathilde-Amivi Petitjean awali alikuwa miongoni mwa wachezaji chipukizi wa timu ya Ufaransa ya mchezo wa utelezi wa nyikani  kabla ya kubadili msimamo na kuiwakilisha Togo nchi aliyozaliwa. 

 • Alessia Afi Dipol

  • Umri: 22
  • Taifa: Togo
  • Mchezo: Alpine Skiing

  Despite having no familial ties to Togo, Italian-born and raised, Alessia Afi Dipol chooses to represent the West African country. 

  The Alpine skier first competed under the Togolese flag at the 2014 Winter Olympics in Sochi. 

 • Shannon-Ogbani Abeda

  • Umri: 21
  • Taifa: Eritrea
  • Mchezo: Alpine skiing

  Abeda alikulia nchini Canada na akataka kuwa mchezaji wa mpira wa magongo kwenye lakini wazazi wake walifikiri kuteleza utakuwa mchezo bora kwake, anakuwa raia wa kwanza wa Eritrea kuiwakilisha nchi yake kwenye michezo ya olimpiki ya majira ya baridi   

  Najua sio kawaida kwa Meritrea kama mimi kuwa mtelezaji kwenye barafu lakini watu wa Eritrea ni wazalendo sana  wanapoona mtu anashindana kuiwakilisha Eritrea kwa jambo chanya wanafurahi sana

Photo Credits:

Matthias Hangst/Getty Images, Dimitar Dilkoff/AFP/Getty Images, Francois Xavier Marit/AFP/Getty Images, Shaun Botterill/Getty Images, Christophe Pallot/Agence Zoom/Getty Images, Alexander Hassenstein/Getty Images, ALEXANDER KLEIN/AFP/Getty Images, Dean Mouhtaropoulos/Getty Images, Courtney Hoffos