Habari za Global News Beat 1500 15/2/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global News Beat 1500 15/2/2018

Watu wengi wanaoishi katika hali ya umaskini hawawezi kununua sabuni wala visodo. Shirika moja huko Uingereza limeanzisha aina ya benki ambapo watu watapeleka bidhaa hizo kusaidia wasojimudu. Wadhani umaskini unaambatana na usafi? Tupe maoni yako kwenye ukurasa wetu wa Facebook BBCSwahili.