Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 02.03.2018

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Mshambuliaji Mjerumani Marco Reus

Tottenham wakotayari kumnadi mshambuliaji Mjerumani Marco Reus,28, wa timu ya Borussia Dortmund (Mirror)

Timu za Paris St-Germain na Real Madrid wanamvisia mlinda mlango wa Chelsea Thibaut Courtois,25. Baba yake Thibaut alikutana na timu hizo za Kifaransa kwa mazungumzo yasiyo rasmi wiki hii (RTBF, via London Evening Standard)

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Mario Lemina

Mazungumzo juu ya mkataba mpya kati ya Courtois na Chelsea yamesukumwa mbele hadi majira ya joto (Sun)

Liverpool watazamia kumsajili kiungo wa Southampton kutoka Gabon Mario Lemina. (L'Equipe)

Image caption Mario Balotelli

Manchester United wamuangana na Liverpool katika kutafuta kiungo kutoka Napoli Jorginho, 26, meneja Jose Mourinho akiwa tayari kulipa paundi milioni 50 kwa ajili ya nyota huyo wa Mitalia (Star)

Wakala wa Mario Balotelli anasema mchezaji huyo aliyekuwa mshambuliaji wa Manchester City na Liverpool,aweza rudi majira ya joto na kucheza katika Ligi ya Premier (Mirror)

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Thiery Henry kuwa kocha mpya wa Arsenal?

Aliyekuwa rais wa Barcelona Joan Laporta asema Arsenal yafaa kumteua Thierry Henry kama meneja wao (Telegraph - subscription required)

Mkuu wa Hoffenheim Julian Nagelsmann ni jina lingine liliotajwa kuchukua nafasi ya Wenger. (Mail)

Haki miliki ya picha Huw Evans picture agency
Image caption Harry Arter

Mkuu wa West Ham David Moyes anaandaa paundi milioni 10m kumnadi mchezaji Harry Arter baada kushindwa kumpata kiungo huyo mara mbili kabla (Express)

West Ham wana mipango kumpatia dili mpya kiungo wa Argentina Manuel Lanzini, 25, ilikupoteza Liverpool wanaomtaka pia. (Evening Standard)

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Lionel Messii

Upanuzi wa uwanja wa ndege waBarecelona hautawezekana kwa sababu "ndege haziruhusiwa kupaa juu ya nyumba ya Lionel Messii "kwa mujibu wa Rais wa Vuielig Javier Sanchez-Prieto. (Marca)

Meneja wa Austria Franco Foda anatazamia kumchukua mashambuliaji Ashley Barnes. Aliwahi kuchezea Austria mwaka 2008 kwenye timu ya under-20 (Austria Press Agency, via Sky Sports Austria)

Mada zinazohusiana