Habari za Global Newsbeat 1000 04/05/2018
Huwezi kusikiliza tena

Mfanyikazi wa usafi Korea Kusini aokota vipande 7 vya dhahabu katika jaa na kupokonywa

Kulingana na gazeti la The Korea Times, mfanyikazi wa usafi alipata vipande saba vya dhahabu vyenye thamani ya mamilioni alipokuwa akiondoa taka katika hoteli ya Incheon. Polisi wanasema hawatamtunuku zawadi yoyote kwa kuwa ni kazi yake ya kusafisha na kuripoti vitu vilivyopotea. Ungefanyaje iwapo ungepata dhahabu kwenye taka? Tueleze kwenye ukurasa wetu wa Facebook, BBCNewsSwahili.