‘Serena Williams’ wa Nigeria mwenye matumaini makubwa
Huwezi kusikiliza tena

Mary Love Edwards: ‘Serena Williams’ wa Nigeria mwenye matumaini makubwa katika tenisi

Mary Love Edwards ni dada raia wa Nigeria mwenye umri wa miaka 13 ambaye ni mchezaji stadi wa tenisi.

Amepewa jina la utani: ‘Serena wa Nigeria’ kwa sababu ya kucheza kwa kutumia nguvu nyingi.

Imekuwaje akafanikiwa katika tenisi?

Mada zinazohusiana