UEFA: Chimbuko la Mo Salah, Firauni nguzo ya Liverpool

Alikuwa hasikiki kwa muda, na hata alikosa nafasi Chelsea, lakini mwaka huu amevuma kwa kishindo.

Amefunga mabao 44 msimu huu na kuwa nguzo kuu ya ufanisi wa Liverpool kiasi cha kuwafikisha fainali Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya.

Katika kijiji alikozaliwa, watu wanapokeaje umaarufu wake.