Mbweha na mwewe wapigania windo angani Marekani

Mbweha huyu katika pori moja kisiwa cha San Juan katika jimbo la Washington, Marekani alikuwa amefanikiwa kumkamata sungura.

Alidhani kapata, hadi pale mwewe alipotokea, vita vya angani vikazuka.

Tazama mambo yalivyokuwa.