Kombe la Dunia 2018: Chagua timu yako ya Afrika

Mataifa matano ya Afrika yanacheza katika Kombe la Dunia 2018 Urusi.

Kwa miaka kadhaa kumekuwa na wachezaji wa aina yake wa Kiafrika waliopata fursa kushiriki mashindano hayo makubwa ya soka.

Kwa kutumia chombo hiki, chagua timu unayoipenda ya Afrika katika Kombe la Dunia kutoka orodha hii iliyokusanywa na jopo la wataalamu wa soka BBC Afrika.

Waonyeshe rafiki zako na pata taarifa kuhusu historia ya wachezaji wako katika Kombe la Dunia.

Samahani, kisakuzi chako hakiwezi kufungua ukurasa huu