Bashiri nani atashinda Kombe la Dunia 2018, kwa kutumia huduma hii ya BBC News

Je, unaweza kubashiri nani atashinda Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi? Ni mataifa gani yatafaulu kufika raundi ya pili? Bashiri na usambaze ubashiri wako kwa kutumia huduma hii ya BBC News.

Tafadhali boresha kisakuzi chako ili kuweza kufungua ukurasa huu