Hizi ndio nambari zenye uzito katika Kombe la Dunia 2018
Huwezi kusikiliza tena

Hizi ndio nambari zenye uzito katika Kombe la Dunia 2018

Timu 32 zitacheza katika mashindano ya mwaka huu ya Kombe la Dunia Urusi kwa siku 32. Lakini ni nambari gani zilizo muhimu katika mashindano hayo makubwa. Hizi ndizo nambari zilizo na uzito katika Kombe la Dunia 2018: