Kombe la Dunia 2018: Wacheza kandanda wenye taaluma zingine nchini Iceland

Iceland fans gather in Reykjavic to celebrate holding Argentina Haki miliki ya picha HALLDOR KOLBEINS
Image caption Iceland ina watu 335,000 - kwa hivyo watu huchukua zaidi ya ajira moja

Iceland ndiyo nchi ndogo zaidi kwa idadi ya watu kuwai kufuzu kwa Kombe la Dunia. Lakini licha ya hili waliweza kuidhibiti Argentina na kutoka sare ya bao 1-1 ambapo pia Messi alipoteza penalti.

Lakini jitihada za Iceland kuboresha kandanda zimeanza majuzi ikimaanisha kuwa nchi hiyo yanye watu 334,252 kati ya wachezaji ni watu wana historia tofauti na majukmu mengine na vipawa. Kwa mfano:

Mwelekezi: Hannes Halldorsson

Haki miliki ya picha Clive Rose
Image caption Hannes Halldorsson

Alizuia penalti ya Messi. Hannnes ni shujaa mpya wa taifa.

Lakini haelekezi mipira kutoka golini tu. Pia huwaelekeza wanafilamu.

Kati ya kazi ni ile video ya nyimbo iliyoshirika tamasha la Eurovision Song Contest.

Kampuni yake ya zamani Sagafilm yenye makao yake huko Norway imeahidi kuwa atarejea kazini mara taaluma yake ya kandanda itakapofikia kikomo,

Mwanasiasa: Rurik Gislason

Haki miliki ya picha Matthias Hangst
Image caption Rurik wakati mwingine hucheza kama Wing'a

Mshambuliaji raia wa Misri Mo Salah alijipata kwenye uchaguzi wa urais wa Misri na jina lake kuandika kwa zaidi ya makaratasi milioni moja ya kupigia kura.

Lakini suala la kuweka jina la mchezaji au mtu maarufu kwenye makaratasi ina historia fulani na hata kuna jina uholanzi hulezea hali hiyo - lijstduwer, na baada ya mechi za Euro 2016 jina la kiungo huyo wa kati wa uholazi jina lake lilionekana kwenye chama cha mrengo wa kati kulia kama mgombea wa Reykjavik South.

Lakini kwa Salah ilikuwa ni tofauti kidogo kwa sababu iliafanywa akiwa anafahamu, na jina lake liliwekwa kuweza kuwavutia wapiga kura kuunga mkono chama.

Hakukuwa na mpango wa Rurik kuchukua wadhifa huo kwa sababu yeye anacheza kandanda Ujerumani.

Mtu wa familia: Albert Gudmundsson

Haki miliki ya picha Gabriel Rossi
Image caption Gudmundsson (kushoto)

Mechi za Euro 2016 zilimfanya maarufu sana mwaname mmoja au labda sauti yake.

Gudmundur Benediktsson alikuwa mtangazaji wa radio nchini Iceland ambaye sauti yake ilijaa mahanjamu ilisambawa kote duniani.

Akiwa mwenyewe ni mshambuliji wa kimataifa wa zamania, mtoto wake wake Albert Gudmondsson alicheza dhid ya Argentina. Lakini familia yao ina historia ndefu kwenye kandanda.

Mamake yake alikuwa mchezaji zamani, Kristbjorg Ingadottir amabye mwenyewe ni binti wa mshambuliaji wa zamani Ingi Bjorn Albertsson, ambaye alikuwa na rekodi ya kufunga mabao mengi zaidi nchini Iceland kati ya mwaka 1987 na 2002.

Daktari wa Meno: Heimir Hallgrimsson

Haki miliki ya picha Matthias Hangst
Image caption Heimir Hallgrimsson

Mabadiliko ya taaluma mtu akiwa mzima inaweza kuwa hatua ngumu lakini pia inaweza kuwa yenye manufaa sana. Daktari aliyegeuka kuwa meneja wa timu ya taifa Heimir Hallgrimsson

Baada ya miaka mingi kama daktari wa meno alianza kama meneja wa kandanda miak ya tisini kwenye timu ya wanawake ya nchi hiyo akiwa bado daktari.

Baada ya muda naye pia akaanza kuongoza timu ya wanaume na kuwa naibu meneja mwaka 2011.

Ndugu wa muoka mikate: Kolbeinn Sigthorsson

Haki miliki ya picha Laurence Griffiths
Image caption Kolbeinn Sigthorsson

Licha ya kutoweza kufuzu kwa kikosi cha mwisho cha Kombe la Dunia hatungekosa kumtaja Kolbeinn ambaye alifunga bao la pilia kwenye ushindi wa kihistoria wa Iceland kwa mabao 2-0 dhidi ya England na ndugu yake Andrei.

Andrei, ambaye kwa sasa ni ajenti wake, alikuwa mmoja wa wachezaji bora zaidi.

Alijiunga na wachzaji wengine kama Tonton Zola Moukoko, Maxim Tsigalko na Freddy Adu

Wakati ambapo ahudumu kama ajenti wa Kolbein,n Andeihusniama husimamia maduka kadha ya kuoka mikate ya familia.