Kombe la Dunia 2018: Nani anahitaji kipi? Awamu ya mwisho ya mechi za makundi

Lionel Messi Haki miliki ya picha Empics
Image caption Argentina ya Lionel Messi nusura ibanduliwe lakini ushindi wa Nigeria dhidi ya Iceland ulifufua matumaini yao

Tunaelekea katika awamu wa mwisho ya mechi za makundi za Kombe la Dunia mwaka 2018.

Timu sita tayari zimefuzu lakini nafasi kumi bado zinang'ang'aniwa.

Hivi ndivyo Fifa inagawana timu ambazo ziko na pointi sawa:

Group A

Haki miliki ya picha .
Image caption Kundi A
  • Urusi na Uruguay wamefuzu kutoka kundi lao. Urusi watafuzu kama washindi ikiwa watazuia kushindwa na Uruguay

Jumatatu 25 Juni

Saudi Arabia v Egypt, Volgograd Arena, 15:00 BST

Uruguayv Russia, Samara Arena, 15:00 BST

Mshindi anacheza na namba mbili Kundi B. Namba mbili kucheza na mshindi wa Kundi B.

Kundi B

Haki miliki ya picha .
Image caption KUNDI B

Jumatatu 25 Juni

Iran v Portugal, Mordovia Arena, 19:00 BST

Spain v Morocco, Kaliningrad Stadium, 19:00 BST

Mshinid kucheza na namba mbili Kundi A. Namba mbili kucheza na mshindi Kundi A.

Kundi C

Haki miliki ya picha .
Image caption KUNDI C

Jumanne 26 Juni

Denmark v France, Uwanja wa Luzhniki, 15:00 BST

Australia v Peru, Uwanja wa Fisht Olympic, 15:00 BST

Mshindi wa Kundi atacheza na mshindi Kundi D, Namba mbili atacheza na mshindi Kundi D.

Group D

Haki miliki ya picha BBC Sport
Image caption KUNDI D

Jumanne 26 Juni

Nigeria v Argentina, Uwanja wa Krestovsky 19:00 BST

Iceland v Croatia, Rostov Arena, 19:00 BST

Mshindi wa Kundi anacheza na namba mbili Kundi C. Namba mbili atacheza na mshindi Kundi C.

Group E

Haki miliki ya picha BBC Sport
Image caption KUNDI E

Jumatano 27 Juni

Serbia v Brazil, Uwanja wa Otkritie, 19:00 BST

Switzerland v Costa Rica, Uwanja wa Nizhny Novgorod, 19:00 BST

Mshindi wa Kundi anacheza na namba mbili Kundi F. Namba mbili atacheza na mshindi Kundi F.

Kundi F

Haki miliki ya picha BBC Sport
Image caption KUNDI F

Jumatano, 27 Juni

South Korea v Germany, Kazan Arena, 15:00 BST

Mexico v Sweden, Uwanja wa Central, 15:00 BST

Mshindi wa Kundi anacheza na namba mbili Kundi E. Namba mbili atacheza na mshindi Kundi E.

Kundi G

Haki miliki ya picha BBC Sport
Image caption KUNDI G

Alhamisi 28 Juni

England v Belgium, Uwanja wa Kaliningrad, 19:00 BST

Panama v Tunisia, Mordovia Arena, 19:00 BST

Mshindi wa Kundi anacheza na namba mbili Kundi H. Namba mbili atacheza na mshindi Kundi H.

Kundi H

Haki miliki ya picha BBC Sport
Image caption KUNDI H

Alhamisi, 28 Juni

Japan v Poland, Volgograd Arena, 15:00 BST

Senegal v Colombia, Samara Arena, 15:00 BST

Mshindi wa Kundi anacheza na namba mbili Kundi G. Namba mbili anacheza na mshindi Kundi G.