Ratiba ya mechi za kirafiki: Klabu za Ligi Kuu England Manchester City, United, Arsenal, Chelsea na Liverpool wanacheza na nani?

Jurgen Klopp (left) na Pep Guardiola Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Liverpool itakabiliana na Manchester City mjini New Jersey USA tarehe 25 Julai

Msimu wa kandanda wa ligi kuu ya Uingereza 2018-19 unaanza rasmi tarehe 10 mwezi Agosti, lakini kabla ya msimu huo vilabu kadhaa vitasafiri maeneo mbalimbali duniani kucheza mechi za kirafiki.

Kutoka Marekani hadi Australia kutoka Ulaya hadi bara Asia , klabu 20 za ligi ya Uingereza zitashiriki katika zaidi ya mechi 100 kabla ya msimu kuanza.

Miongoni mwa vitu vilivyopo katika ajenda ni kuimarisha maungo ya wachezaji, kuwasaidia wachezaji wapya na wakufunzi kuzoea mazingira ya timu mbali na ukuzaji wa kibiashara

Mechi za kirafiki

Mabingwa watetezi wa ligi ya Uingereza Manchester City wataelekea nchini Marekani kwa ziara ya ambayo itashirikisha mechi za kirafiki dhidi ya wapinzani wao wa Uingereza Chelsea na Liverpool.

Klabu hizo tatu zitaungana na klabu za Manchester United, Arsenal na Tottenham katika mchunao huo wa mabingwa wa kombe la kimataifa

Shindano hilo la kila mwaka pia litashirikisha mabingwa wa Uhispania, Itali, Ufaransa na Ujerumani -Bercelona, Juventus, PSG na Bayern Munich - pamoja na Benfica na Atletico Madrid.

Liverpool itakabiliana na klabu zote mbili za Manchester katika kipindi cha siku tatu, huku Chelsea ikichuana na wapinzani wao wa London Arsenal katika mji wa Dublin Agosti mosi.

Mabingwa watetezi wa kombe la FA Chelsea watakabiliana na Manchester City katika kombe la Community Shield katika uwanja wa Wembley mnamo tarehe 5 Agosti.

Wiki mbili kabla ya mechi hiyo Chelsea itasafiri maili 17,982- magharibi mwa Australia ili kuchuana na Perth Glory.

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Klabu mpya ilioteuliwa katika ligi kuu ya Uingereza Cardiff ndio timu ya pekee ambayo haitaondokja Uingereza kwa mechi za kirafiki

Southampton ilikuwa timu ya kwanza ya ligi ya Uingereza kucheza mechi za kirafiki baada ya kutoka sare ya 3-3 dhidi ya klabu ya ligi ya Bundesliga Schalke nchini Ujerumani kabla ya kuelekea nchini China kwa ziara ambayo ilikamilika na ushindi wa 3-2 dhidi ya klabu ya Jiangsu Suning.

Mechi za kirafiki kabla ya msimu wa ligi ya Premier kuanza:

Arsenal

14 Julai: Boreham Wood 0-8 Arsenal (Meadow Park)

26 Julai: Arsenal v Atletico Madrid (Singapore Sports Hub)

28 Julai: Arsenal v Paris St-Germain (Singapore Sports Hub)

1 Agosti: Arsenal v Chelsea (Aviva Stadium, Dublin)

4 Agosti: Arsenal v Sevilla (Friends Arena, Stockholm)

Bournemouth

14 Julai: Sevilla 1-1 Bournemouth (La Manga)

20 Julai: Levante v Bournemouth (La Manga)

27 Julai: Bristol City v Bournemouth (Ashton Gate)

28 Julai: Nottingham Forest v Bournemouth (City Ground)

3 Agosti: Bournemouth v Real Betis (Vitality Stadium)

4 Agosti: Bournemouth v Marseille (Vitality Stadium)

Brighton

14 Julai: St Gallen 1-1 Brighton (Kybunpark, St Gallen)

21 Julai: AFC Wimbledon v Brighton (Cherry Red Records Stadium)

24 Julai: Charlton Athletic v Brighton (The Valley)

28 Julai: Birmingham City v Brighton (St Andrew's Stadium)

3 Agosti: Brighton v Sporting Lisbon (Amex Stadium)

Burnley

13 Julai: Cork City 0-1 Burnley (Turners Cross, Cork)

20 Julai: Macclesfield Town v Burnley (Moss Rose)

20 Julai: Curzon Ashton v Burnley (Tameside Stadium)

23 Julai: Preston North End v Burnley (Deepdale)

26 Julai: Aberdeen v Burnley - Europa League second qualifying round first leg (Pittodrie)

29 Julai: Burnley v Montpellier (Turf Moor)

2 Agosti: Burnley v Aberdeen - Europa League second qualifying round second leg (Turf Moor)

5 Agosti: Burnley v Espanyol (Turf Moor)

Cardiff City

16 Julai: Tavistock AFC 0-6 Cardiff (Langsford Park)

18 Julai: Bodmin Town v Cardiff (Priory Park)

20 Julai: Torquay v Cardiff (Plainmoor)

25 Julai: Rotherham United v Cardiff (New York Stadium)

28 Julai: Burton Albion v Cardiff (Pirelli Stadium)

31 Julai: Greenock Morton v Cardiff (Cappielow Park)

4 Agosti: Cardiff v Real Betis (Cardiff City Stadium)

Chelsea

23 Julai: Perth Glory v Chelsea (Optus Stadium, Perth)

28 Julai: Chelsea v Inter Milan (Allianz Riviera Stadium, Nice)

1 Agosti: Arsenal v Chelsea (Aviva Stadium, Dublin)

5 Agosti: Chelsea v Manchester City - FA Community Shield (Wembley)

7 Agosti: Chelsea v Lyon (Stamford Bridge)

Crystal Palace

12 Julai: Helsingor 2-2 Crystal Palace (Helsingor Stadium, Helsingor)

16 Julai: Halmstads 1-6 Crystal Palace (Orjans Vall, Halmstad)

17 Julai: Bromley 1-0 Crystal Palace (Hayes Lane)

21 Julai: Oxford United v Crystal Palace (Kassam Stadium)

24 Julai: Stevenage v Crystal Palace (Lamex Stadium)

28 Julai: Reading v Crystal Palace (Madejski Stadium)

31 Julai: Boreham Wood v Crystal Palace (Meadow Park)

4 Agosti: Crystal Palace v Toulouse (Selhurst Park)

7 Agosti: Kingstonian v Crystal Palace (King George's Field)

Everton

14 Julai: ATV Irdning 0-22 Everton (ATV Arena, Irdning)

18 Julai: Bury v Everton (Gigg Lane)

21 Julai: Everton v Lille (Estadio Algarve, Portugal)

22 Julai: Everton v Porto (Estadio Algarve, Portugal)

26 Julai: Blackburn v Everton (Ewood Park)

4 Agosti: Everton v Valencia (Goodison Park)

Fulham

7 Julai: Fulham 4-2 Crawley Town (Motspur Park)

14 Julai: Fulham 0-0 Reading (EBB Stadium, Aldershot)

21 Julai: Lyon v Fulham (Stade Pierre Rajon, Bourgoin-Jallieu)

1 Agosti: Fulham v Sampdoria (EBB Stadium, Aldershot)

4 Agosti: Fulham v Celta Vigo (Craven Cottage)

Huddersfield

10 Julai: Bury 0-4 Huddersfield (Gigg Lane)

14 Julai: Accrington Stanley 3-0 Huddersfield (Wham Stadium)

18 Julai: Dynamo Dresden v Huddersfield (Stadion Am Sommerdamm, Russelsheim)

21 Julai: Real Betis v Huddersfield (Stadion Essen)

21 Julai: Rot-Weiss Essen/Werder Bremen v Huddersfield v (Stadion Essen)

22 Julai: SV Darmstadt 98 v Huddersfield (Merck-Stadion am Bollenfalltor, Darmstadt)

25 Julai: Huddersfield v Lyon (John Smith's Stadium)

31 Julai: Huddersfield v Bologna (Brixen Im Thale, Austria)

3 Agosti: Huddersfield v RB Leipzig (Schwaz, Austria)

Leicester

21 Julai: Notts County v Leicester (Meadow Lane)

1 Agosti: Leicester v Valencia (King Power Stadium)

4 Agosti: Lille v Leicester (Stade Pierre-Mauroy, Lille)

Liverpool

7 Julai: Chester 0-7 Liverpool (Swansway Chester Stadium)

10 Julai: Tranmere Rovers 2-3 Liverpool (Prenton Park)

14 Julai: Bury 0-0 Liverpool (Gigg Lane)

19 Julai: Blackburn v Liverpool (Ewood Park)

22 Julai: Liverpool v Borussia Dortmund (Bank of America Stadium, North Carolina)

25 Julai: Manchester City v Liverpool (MetLife Stadium, New York)

28 Julai: Manchester United v Liverpool (Michigan Stadium, Michigan)

4 Agosti: Liverpool v Napoli (Aviva Stadium, Dublin)

7 Agosti: Liverpool v Torino (Anfield)

Manchester City

20 Julai: Manchester City v Borussia Dortmund (Soldier Field, Chicago)

25 Julai: Manchester City v Liverpool (MetLife Stadium, New York)

28 Julai: Bayern Munich v Manchester City (Hard Rock Stadium, Miami)

5 Agosti: Chelsea v Manchester City - FA Community Shield (Wembley)

Manchester United

19 Julai: Manchester United v Club America (Phoenix University Stadium, Arizona)

22 Julai: Manchester United v San Jose Earthquakes (Levi's Stadium, Santa Clara)

25 Julai: AC Milan v Manchester United (Rose Bowl, Pasadena)

28 Julai: Manchester United v Liverpool (Michigan Stadium, Michigan)

31 Julai: Manchester United v Real Madrid (Hard Rock Stadium, Miami)

5 Agosti: Bayern Munich v Manchester United (Allianz Stadium, Munich)

Newcastle

17 Julai: St Patrick's Athletic 0-2 Newcastle (Richmond Park, Dublin)

24 Julai: Hull City v Newcastle (KCOM Stadium)

28 Julai: Porto v Newcastle (Estadio do Dragao, Porto)

1 Agosti: SC Braga v Newcastle (Estadio Municipal de Braga)

4 Agosti: Newcastle v Augsburg (St James' Park)

Southampton

5 Julai: Schalke 04 3-3 Southampton (Kunshan Sports Centre Stadium)

11 Julai: Jiangsu Suning 2-3 Southampton (Xuzhou Olympic Sports Centre Stadium)

21 Julai: Derby County v Southampton (Pride Park)

1 Agosti: Southampton v Celta Vigo (St Mary's Stadium)

4 Agosti: Southampton v Borussia Monchengladbach (St Mary's Stadium)

Tottenham Hotspur

25 Julai: Roma v Tottenham (SDCCU Stadium, San Diego)

28 Julai: Barcelona v Tottenham (Rose Bowl, Pasadena)

31 Julai: Tottenham v AC Milan (US Bank Stadium, Minneapolis)

4 Agosti: Girona v Tottenham (Estadi Montilivi, Girona)

Watford

17 Julai: FC Koln 1-1 Watford (behind closed doors)

21 Julai: Dusseldorf v Watford (behind closed doors)

27 Julai: Stevenage v Watford (Lamex Stadium)

28 Julai: Brentford v Watford (Griffin Park)

4 Agosti: Watford v Sampdoria (Vicarage Road)

West Ham

8 Julai: FC Winterthur 3-2 West Ham (Schutzenwiese Stadium, Winterthur)

14 Julai: Wycombe Wanderers 0-1 West Ham (Adams Park)

21 Julai: Preston North End v West Ham (Deepdale)

25 Julai: Aston Villa v West Ham (Bescot Stadium, Walsall)

28 Julai: Ipswich Town v West Ham (Portman Road)

31 Julai: Mainz v West Ham (Kufstein Arnea) Austria

3 Agosti: Angers v West Ham (Das.Goldberg-Stadion, Grodig)

Wolves

10 Julai: Basel 1-2 Wolves (Tissot Arena, Biel)

14 Julai: Young Boys 0-4 Wolves (Berner Stadion Neufeld, Bern)

19 Julai: Wolves v Ajax (Banks's Stadium, Walsall)

25 Julai: Stoke City v Wolves (Bet365 Stadium)

28 Julai: Derby County v Stoke City (Pride Park)

4 Agosti: Wolves v Villarreal (Molineux)