Jeshi la Sri Lanka lawapa mafunzo nguchiro kunusa na kutambua vilipuzi

Jeshi la Sri Lanka lawapa mafunzo nguchiro kunusa na kutambua vilipuzi

Jeshi la Sri Lanka lawapa mafunzo nguchiro kunusa na kutambua vilipuzi. Nguchiro wawili kwa sasa wanatapa mafunzo ya kunusa vilipuzi vilivyofichwa. Maafisa wanasema kuwa wao ni bora zaidi kuliko mbwa kutoka ng'ambo.