Wanafunzi wavumbua kifaa cha kuwafukuza Tembo Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Wanafunzi wavumbua kifaa cha kuwafukuza Tembo Kenya

Kundi moja la wanafunzi limevumbua kifaa kinachowaonya tembo kuingia katika vijiji Kenya.Wanafunzi hao walivumbua kifaa kinachotumia mwanga wa jua kwa jina 'Ndovu Care' ili kuwatimua tembo hao wanaoharibu mimea na kuwaua watu vijijini

Mada zinazohusiana