Bondia wa Kenya Fatuma Zarika ahifadhi ubingwa wa dunia wa WBC uzani wa super-bantam

Bondia wa Kenya Fatuma Zarika jana alitolewa jasho na Yamileth Mercado wa Mexico kabla ya kuibuka mshindi kwa pointi na kuhifadhi ubingwa wa dunia wa WBC uzani wa super-bantam kwenye pigano la raundi kumi mjini Nairobi....John Nene alikua kando ya ulingo na hii hapa ripoti yake..