'Nataka kuwa bingwa wa kupepeta mpira duniani'
Huwezi kusikiliza tena

Oscar Litonde: Kwa kupepeta mpira, nataka kuwa bingwa wa dunia

Oscar Litonde ni mchezaji wa soka aina ya freestyle ambayo amekuwa akionyesha mitindo yake katika maeneo mbalimbali ya mji wa Nairobi ili kujipatia kipato.

Ameshiriki katika mashindano ya kupepeta mpira mara kadhaa na kushinda zawadi tofauti. Licha ya kwamba amewakilisha Kenya ughaibuni na hata kuwavutia wachezaji mbalimbali kama vile mchezaji wa zamani wa Brazil Ronaldinho, ana lengo la kutaka kuwa bingwa wa dunia katika mchezo huo.

Video: Seif Abdalla, BBC

Mada zinazohusiana